Carousel

Breaking News

SIMBA:TUPO TAYARI KUPAMBANA NA STAND UNITED LEO



PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba amesema kuwa leo watapambana mbele ya Stand United kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa Uwanja wa Kambarage Shinyanga.

Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa  mipango ipo sawa na kila mchezaji anatambua kazi yake.

"Tupo vizuri tunatazama mchezo wetu wa mbele na malengo yetu kuona tunapata matokeo mazuri, kila mchezaji anatambua jukumu lake tutapambana kupata matokoe.

"Tunatambua kwamba mchezo wetu dhidi ya Mwadui utakuwa mgumu ila tupo tayari mashabiki watupe sapoti,".

No comments